UANACHAMA

KUKIDHI UANACHAMA


Mtumishi wa TANROADS aliye katika ajira ya kudumu, ajira ya mkataba, mstaafu au mtumishi aliyeajiriwa na Chama anapata sifa ya awali ya kujiunga kwa kuzingatia msingi namba moja (1) wa Ushirika ambao ni Uanachama wa hiari na ulio wazi. Endapo atakidhi mahitaji ya Fungamano la pamoja la uanachama ni sharti awe na sifa zifuatazo :

MAHITAJI YA UANACHAMA


Mwanachama tarajiwa atapaswa:

MCHAKATO WA USAJILI WA WANACHAMA


Maombi ya kujiunga katika Chama yatafuata utaratibu ufuatao :

ADA ZA UANACHAMA & MTAJI WA KUGAWANA


(1) Mwanachama atakapokubali kujiunga na Chama atapaswa.

(2) Mwanachama ambaye atashindwa kutimiza matakwa ya sharti dogo (1) (b) hapo juu hataruhusiwa kunufaika na haki za mwanachama katika Chama.

(3) Viwango vya kiingilio, hisa na akiba vinaweza kubadilishwa kwa maamuzi ya Mkutano Mkuu wa Wawakilishi.

(4) Mwanachama aliyekamilisha kulipia Hisa zote atapewa hati ya kumiliki Hisa.

HAKI ZA MWANACHAMA


Mwanachama atakuwa na haki zifuatazo:

WAJIBU WA MWANACHAMA


Wajibu wa mwanachama utakuwa ni pamoja na:

TANROADS SACCOS LIMITED ni Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Wafanyakazi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS).

Jengo la Wizara, ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Gorofa ya Tatu, Chumba Namba 5, Kitalu Na. 10 Makutano ya Mtaa wa Shaaban Robert na Garden

+255-738 749 253 / +255-796 250 187

saccos@tanroads.go.tz

Huduma zetu

Bidhaa zetu

Scroll to Top